Abiria wanaotumia usafiri wa daladala jijini Dar es Salaam, leo wamekuwa katika wakati mgumu baada ya usafiri huo kuwa adimu kutokana na daladala nyingi kukodiwa na makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenda kwenye uzinduzi wa kampeni za chama hicho.