KATIKA kipindi kifupi kijacho Tanzania itakuwa kitovu cha uchumi wa kijani hususani katika utengenezaji wa magari ya umeme, betri za magari, nishati safi na vifaa vya kielektroniki, imeelezwa. Tanzania itakuwa kitovu cha uchumi wa kijani kutokana na mkakati wake wa kuhakikisha rasilimali madini zinaongezwa thamani ndani ya nchi na kufaidisha Watanzania kupata ajira, kuchangia kodi … The post Tanzania kuwa kitovu uchumi wa kijani wa nishati safi first appeared on HabariLeo .