Adaiwa kumuua mwanaye kwa jembe wakizozania chakula

Baba mwenye umri wa miaka 63 (jina lake halijapatikana) mkazi wa Kijiji cha Sakwa Kusini kilichopo Kaunti ndogo ya Awendo nchini Kenya anadaiwa kumuua mwanaye wakati wakizozania chakula kisha kutokomea.