Samia: Ilani ya CCM imezingatia maudhui Dira ya maendeleo 2050

MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kuanza kuinadi Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka huu. Mgombea huyo ameeleza ilani hiyo imezingatia maudhui na vipaumbele vya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. “CCM inaunga mkono matarajio yote yaliyoainishwa katika Dira ya Taifa ya Maendeleo … The post Samia: Ilani ya CCM imezingatia maudhui Dira ya maendeleo 2050 first appeared on HabariLeo .