Wagombea, vyama vizingatie kampeni za kistaarabu kulinda amani ya nchi

LEO (Agosti 28, 2025) ni uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2025. Vyama vya siasa 18 vilivyosaini kanuni za maadili na kuridhia kuingia katika kinyang’anyiro cha Uchaguzi Mkuu kuanzia leo vitaanza kunadi ilani na wagombea wake wa nafasi za urais, ubunge, udiwani na uwakilishi kwa Zanzibar. Kampeni zinazoanza … The post Wagombea, vyama vizingatie kampeni za kistaarabu kulinda amani ya nchi first appeared on HabariLeo .