Wasafirishaji abiria wafurahia neema ya kampeni za CCM

Ufunguzi wa kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) unaofanyika leo Alhamisi Agosti 28, 2025 katika viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar es Salaam, umegeuka fursa ya kiuchumi kwa wasafirishaji wa abiria wa ndani.