Katika mazingira yenye ushindani wa ajira na changamoto za kiuchumi, kikundi cha Vijana wa Iringa kimeanzisha mradi wa kisasa wa usindikaji mvinyo chini ya kampuni LordFather inayoundwa na Kassim Mgambo, Irene Mdegipala, Lukelo Mallumbo, Naomi Fedrick na Marry Mallumbo.