Ukweli kuhusu gesi kupoteza ladha ya chakula

Katika jitihada za nchi kuachana na matumizi ya nishati chafu kama kuni na mkaa, mjadala unaibuka mitaani kuhusu matumizi ya gesi ya kupikia na athari zake kwenye ladha ya vyakula.