Shule ya Sekondari Morogoro yaeleza ufanisi matumizi ya nishati safi ya kupikia

Shule ya Sekondari Morogoro imepunguza gharama za matumizi ya nishati kwa zaidi ya asilimia 67 kila mwezi tangu kuanza kutumia gesi badala ya kuni na mkaa mnamo Novemba 2024.