Jumla ya maeneo 168 ya fukwe, makazi na miundombinu ya barabara yameathirika na mabadiliko ya tabianchi kisiwani hapa, kati ya hayo 25 Unguja na 143 kutoka Pemba.