Simba yamnasa straika aliyecheza Kombe la Dunia

DAR ES SALAAM; SIMBA ya Dar es Salaam, mchana wa leo imetambulisha usajili wa mshambuliaji Mtanzania, Selemani Mwalimu kutoka timu ya Wydad AC ya nchini Morocco. Nyota huyo raia wa Tanzania alikuwa sehemu ya kikosi cha Wydad kilichocheza michuano ya Kombe la Dunia la klabu iliyofanyika nchini Marekani Juni na Julai mwaka huu, na alicheza … The post Simba yamnasa straika aliyecheza Kombe la Dunia first appeared on HabariLeo .