Kipa Mlandizi Queens atua Yanga Princess

KLABU ya mpira wa miguu kwa wanawake, Yanga Princess imemtambulisha golikipa mpya, Ester Kolonely kutoka timu ya Mlandizi Queens ambaye amekwenda kuongeza ushindani kwenye kikosi hicho. Klabu hiyo imemtambulisha golikipa huyo leo ikisema tayari ameanza majukumu yake akiungana na wenzake katika maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara. SOMA: Yanga Princess … The post Kipa Mlandizi Queens atua Yanga Princess first appeared on HabariLeo .