Koola: Tutashirikiana kuipaisha Vunjo

KILIMANJARO: MGOMBEA Mgombea Ubunge wa Jimbo la Vunjo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Enoch Koola, amesema amefurahishwa na mapokezi makubwa aliyoyapata kutoka kwa wananchi wa jimbo hilo, akiahidi kushirikiana nao katika kuleta maendeleo. Kupitia ujumbe wake alioutoa leo Koola amesema: “Wanavunjo wenzangu, moyo wangu umejaa furaha kwa mapokezi mliyonipa. Nimeona shauku yenu, nimesikia sauti zenu … The post Koola: Tutashirikiana kuipaisha Vunjo first appeared on HabariLeo .