Wanne wafariki dunia , 30 wajeruhiwa shambulio Ukraine

Shambulio limefanywa na Jeshi la Russia nchini Ukraine, limeuwa watu wanne wakiwemo watoto wawili na kujeruhi wengine 30.