‘Watumia Gmail kaeni chonjo kuna kundi la wadukuzi’

Kampuni ya Google imewataka watumaji wa huduma ya barua pepe ya mtandao ya Gmail kuwa makini kwani kuna kundi la wadukuzi wanaozilenga akaunti hizo, baada ya kufanikiwa kuiba taarifa.