Ni kijani na njano! ndiyo hali halisi ilivyo katika mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam, wanachama, wapenzi na wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliovalia sare za chama hicho wakiendelea na hekaheka za uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025.