Mahakama ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemuhukumu kifungo cha miaka mitano gerezani, mkazi wa Kijiji cha Malampaka, Zackaria Shija (38), kwa kosa la kuishi kinyumba na kumpa ujauzito mwanafunzi mwenye umri wa miaka 20.