Mkazi wa Pangani mkoani Tanga, Hamisi Bali amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu shtaka moja ya kughushi wosia.