DAR ES SALAAM: BANDARI ya Dar es Salaam imeongeza uwezo wa sheheza za mizigo kutoka tani milioni 17 mwaka 2020 hadi tani milioni 27.76 mwaka 2025. Pia bandari hiyo imepunguza muda wa meli kutia nanga kutoka wastani wa siku 46 hadi siku 7 kwa meli za mizigo mchanganyiko. Akizungumza leo Agosti 28, 2025 katika uzinduzi … The post Bandari Dar yafikisha shehena milioni 27.76 first appeared on HabariLeo .