Serikali imeahidi kumaliza vikwazo vyote kwa wafanyabiashara wa mazao ya samaki, ikiwemo wanaosafirisha nje ya nchi ili biashara hiyo ilete tija kwa uchumi wa nchi.