‘Ni wajibu wa viongozi wa dini kupigania haki’

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema viongozi wa dini wana wajibu mkubwa wa kupigania haki, amani ya kweli na utulivu, mambo ambayo wananchi wote wanayahitaji kwa ajili ya maendeleo ya Taifa.