Ufanisi mdogo wa vitendo katika utendaji kazi miongoni mwa wahitimu wa vyuo vikuu nchini, umeelezwa kuwa moja ya kikwazo cha vijana kushindana katika soko la ajira, ndani na nje ya nchi.