Wakati matukio ya ajali za moto yanayohusisha watoto yakiendelea kuripotiwa, Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi limesema kuanzia Januari hadi Agosti 2025, kumeripotiwa matukio 10 tofauti.