Wasira: Waliompinga Samia walikuwa na hofu ya mabadiliko, masilahi yao

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema wingi wa watu waliojitokeza katika uwanja huo unadhihirisha kuwa CCM ina uwezekano wa kuendelea kukamata dola.