Wagombea udiwani 16 CCM kupigiwa kura za ndiyo au hapana uchaguzi mkuu Kigoma

Wakati kampeni zikianza kote nchini katika nafasi za ubunge, udiwani na urais, Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Kigoma wagombea udiwani katika kata 16 wanatarajiwa kupigiwa kura za ndiyo au hapana baada ya vyama vya upinzani kutosimamisha wagombea katika kata hizo.