Kicheko na maumivu wagombea ubunge, udiwani wakipenya INEC

Ni kicheko na maumivu kwa wagombea wa nafasi ya ubunge na udiwani baada ya baadhi kuteuliwa na wengine kukosa sifa ya kuteuliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuanza safari ya kusaka kura kuwaongoza wananchi ngazi ya kata na jimbo.