Mahakama Kenya yazuia ujenzi wa kanisa Ikulu

Mahakama Kuu nchini Kenya imeamuru kusitishwa kwa muda ujenzi wa kanisa la kudumu au jengo lolote la kidini katika majengo ya Ikulu, nchini humo.