Kwa mujibu wa madhehebu yetu ya Shafii ibada hii ni Sunna iliyosisitizwa na kutiliwa mkazo. Lakini hakuna dhambi kwa anayeiacha.