Dar es Salaam, Agosti 28, 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuanzisha mfumo wa kidijiti wa kupima uwajibikaji wa mawaziri, wakuu wa mikoa, na watendaji wengine wa serikali ikiwa atachaguliwa tena katika kipindi cha siku mia moja za awali za uongozi wake. […]