Rais Mstaafu Kikwete Awataka Wanachama Kupuuza Maneno ya Upotoshaji – Video

Dar es Salaam, Agosti 28, 2025 – Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amewataka wananchi na wanachama wa CCM kupuuza maneno yanayodai kuwa taratibu za kumpitisha Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa chama hicho zimekiukwa. Akihutubia katika uzinduzi wa […]