Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka wagombea wote wa nafasi za udiwani na ubunge kupitia chama hicho kuwafikia wananchi katika kipindi hiki cha kampeni na kuwaeleza kuhusu utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2020/25, pamoja na mipango na sera za chama kuelekea mwaka 2030. Aidha, katika hotuba yake, […]