Mstaafu anapotamani kurudisha kadi yake ya ustaafu!

Pamoja na miaka 66 aliyo nayo, mstaafu wetu anamiliki anachoita kitambulisho kimoja tu kinachomtambulisha kuwa yeye ni mstaafu wa shirika lililokuwa kubwa enzi zake la 'nanihii', alichopata siku alipostaafu kwa hiari yake miaka 15 iliyopita!