Kesi ya mtoto wa Askofu Sepeku dhidi ya Kanisa la Anglikana kuunguruma tena leo

Kesi ya Bernardo Sepeku ambaye ni mtoto wa marehemu John Sepeku aliyekuwa Askofu wa kwanza wa Kanisa Anglikana Tanzania, Dayosisi ya Dar es Salaam, inaendelea leo Ijumaa, Agosti 29, 2025 Mahakama Kuu, Divisheni ya Ardhi.