Mgombea CHAUMMA Mafinga Mjini awekewa pingamizi

IRINGA: Mgombea ubunge wa Jimbo la Mafinga Mjini kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Ngwada Mubarak Twaha, amewekewa pingamizi la kugombea nafasi hiyo na mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dickson Lutevele. Pingamizi hilo limewasilishwa kwa Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mafinga Mjini, Doroth Kobelo, likieleza sababu kadhaa zinazodaiwa kumfanya Twaha asistahili kuendelea … The post Mgombea CHAUMMA Mafinga Mjini awekewa pingamizi first appeared on HabariLeo .