HIVI karibuni, Waziri wa Madini, Anthony Mavunde wakati akiweka jiwe la msingi la kiwanda cha kusafi sha na kusindika madini ya nikeli na shaba kinachojengwa na Kampuni ya Zhongzhou Mining, eneo la Zamahero wilayani Bahi mkoani Dodoma, alisema Tanzania itakuwa kinara wa mapinduzi ya uchumi wa kijani. Alisema katika kipindi kifupi kijacho Tanzania inatarajiwa kuwa … The post Tanzania kuwa kitovu uchumi wa kijani, nishati safi inawezekana first appeared on HabariLeo .