Nchimbi awasili Mwanza kampeni uchaguzi mkuu

MGOMBEA mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amewasili jijini Mwanza kwa ajili ya kampeni za chama hicho na kupokelewa kwa shangwe kubwa na viongozi pamoja na wanachama wa CCM mkoani humo. Mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza, Dk. Nchimbi alitia saini kitabu cha wageni na … The post Nchimbi awasili Mwanza kampeni uchaguzi mkuu first appeared on HabariLeo .