Utawala bora unaendelea kuwa kipengele muhimu kinachoamua mwelekeo wa maendeleo, uthabiti wa kiuchumi na mshikamano wa kijamii katika nchi za Afrika. Kwa mujibu wa Country Governance and Government Index (CGGI), tathmini ya kila mwaka inayopima serikali 120 duniani, zaidi ya nusu ya nchi hizo zimeonesha kuporomoka kwa viwango vyao vya utawala kati ya mwaka 2021 na 2025. CGGI hupima uwezo wa serikali katika utekelezaji wa sera, ufanisi wa taasisi na uwajibikaji wa umma, na kutoa taswira ya kina juu ya jinsi serikali zinavyokidhi mahitaji ya wananchi wake. Kwa upande wa Tanzania, ripoti hii imeitaja kuwa miongoni mwa nchi zenye utawala […] The post Tanzania yashika nafasi ya 6 kwa utawala bora Afrika 2025 appeared first on SwahiliTimes .