Njaa yazidisha utapiamlo Afrika

LONDON: SHIRIKA la kimataifa la hisani kwa watoto, Save the Children, limesema kuwa takribani nchi nne za Afrika zinatarajiwa kukumbwa na upungufu wa chakula maalum cha kuokoa maisha ya watoto waliokumbwa na utapiamlo katika kipindi cha miezi mitatu ijayo. The post Njaa yazidisha utapiamlo Afrika first appeared on HabariLeo .