AGOSTI 30, kila mwaka dunia inaadhimisha Siku ya Papa Potwe duniani ikiwa na lengo kuibua ufahamu na kuelimisha umma kuhusu samaki huyo na kuhamasisha juhudi za uhifadhi ili kumkinga na upotevu. Siku hii ilianzishwa rasmi mwaka 2008 katika Mkutano wa Kimataifa wa Papa Potwe na wataalamu na wanaharakati zaidi ya 40 wa masuala ya bahari. … The post SIKU YA PAPA POTWE DUNIANI; WWF inavyoimarisha uhifadhi Mafia first appeared on HabariLeo .