MOROGORO: Baada ya jana kuzindua kampeni za Uchaguzi Mkuu jijini Dar es Salaam, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk Samia Suhulu Hassan leo atakuwa mkoani Morogoro. Mkoa huo utakuwa wa pili, baada ya jana kuanza Dar es Salaam. Aidha, mgombea mwenza, Balozi Dk Emmanuel Nchimbi ameshawasili jijini Mwanza kuanza kampeni hizo. SOMA ZAIDI The post Zamu ya Morogoro leo first appeared on HabariLeo .