CCM yakosa upinzani ubunge Mvomero, Ngorongoro

WAGOMBEA ubunge katika majimbo ya Mvomero mkoani Morogoro na Ngorongoro mkoani Arusha wamekosa wapinzani. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imemteua Sarah Msafiri kuwa mgombea pekee wa ubunge Mvomero kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wagombea wanane walichukua fomu za kuomba uteuzi kwa msimamzi wa uchaguzi wa Jimbo la Mvomero, Mary Kayowa. Mary amesema kuwa … The post CCM yakosa upinzani ubunge Mvomero, Ngorongoro first appeared on HabariLeo .