Dk Nchimbi atua Mwanza kwa kampeni

MWANZA; MGOMBEA mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amewasili jijini Mwanza kwa ajili ya kampeni za chama hicho na kupokelewa kwa shangwe kubwa na viongozi pamoja na wanachama wa CCM mkoani humo. Mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza, Dk. Nchimbi alitia saini kitabu cha wageni … The post Dk Nchimbi atua Mwanza kwa kampeni first appeared on HabariLeo .