Gari, Pikipiki, dhahabu, simu janja zaongeza msisimko katika mnada wa Piku

Jukwaa la kidigitali la PIKU linalojulikana kwa kuendesha minada ya kipekee na yenye ushindani wa hali ya juu, limetangaza kuja na bidhaa mpya na za kuvutia zitakazoshindaniwa na washiriki wake wote. Kwa mara ya kwanza washiriki wa mnada wa PIKU watapata nafasi ya kushindania bidhaa zenye thamani kubwa ambazo ni gari, pikipiki, seti ya dhahabux, …