Mgombe Ubunge katika Jimbo la Kigoma Mjini Baba levo alivyokutana na Diamond Platnumz Kawe kwenye Tukio la Uzinduzi wa Kampeni. Shuhudia Baba levo alivyombeba Diamond kwa Furaha huku Diamond akimuita Mheshimiwa.