MOROGORO: MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kutoa shilingi bilioni 2.6 kwa ajili ya mikopo kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu 8,320 ili kuwawezesha kuongeza mitaji na kujikwamua kiuchumi. Ahadi hiyo imetolewa leo, Agosti 29, 2025, wakati Dk. Samia akihutubia mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu katika Kijiji … The post Dk Samia amwaga sera Ngerengere first appeared on HabariLeo .