Bodaboda fursa ya ajira iliyogeuka kichinjio

Licha ya usafiri wa bodaboda kuwa sehemu ya maisha ya kila siku ya wananchi vijijini na mijini, umeibua mjadala kuhusu usalama barabarani, utekelezaji wa sheria na changamoto za uhalifu.