KIGOMA: WAGOMBEA 16 wa nafasi za udiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Kigoma wamefanikiwa kuwa wagombea pekee baada ya vyama vingine kushindwa kusimamisha wagombea na baadhi ya wagombea wa upinzani kukosa sifa. The post CCM yatamba Kigoma bila upinzani first appeared on HabariLeo .