CCM yafunika Dar, Samia aahidi makubwa siku 100 ofisini

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi kufanya makubwa katika siku 100 akichaguliwa kuiongoza nchi kwa miaka mitano ijayo zikiwemo ajira 12,000 katika sekta za afya na elimu. Alisema serikali atakayoiunda itazingatia mabadiliko yenye kugusa maslahi ya mwananchi moja kwa moja katika kipindi cha miaka mitano ijayo. Samia alisema hayo alipozungumza … The post CCM yafunika Dar, Samia aahidi makubwa siku 100 ofisini first appeared on HabariLeo .