Araqchi: Tupo tayari tukiona nia njema

TEHRAN: WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, amesema nchi yake iko tayari kurejea kwenye mazungumzo ya mkataba wa nyuklia endapo mataifa ya Magharibi yataonyesha nia njema. The post Araqchi: Tupo tayari tukiona nia njema first appeared on HabariLeo .