MOROGORO; Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Samia Suluhu Hassan, amesema ana bahati kubwa na Wanangerengere inapofika mwezi Agosti kwani mara ya mwisho kufika kijijini hapo ilikuwa Agosti mwaka jana kwenye uzinduzi wa kwanza wa safari ya Treni ya Umeme (SGR), alipoambatana na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, ambaye kwa … The post Samia: Agosti nina bahati na Ngerengere first appeared on HabariLeo .